Mapendekezo ya siku za malipo ya dowans

Mapendekezo ya siku za malipo ya dowans

mwakabana

Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
31
Reaction score
7
Wadau nawaomba MAGAMBA wakiamua kuilipa dowans basi wafanye siku ya kusherehekea miaka 50 ya uhuru wa tanganyika au siku ya nyerere day ikishidikana wafanye 2015 wakati wa kikao chao cha kumteua candidate wa kugombea urais ; NIA ILI WATU WAWE AWARE NA MAPINDUZI YAANZIE HAPO AU KWENYE UCHAGUZI WAO WA CHAMA 2012 pls magamba fanyeni hivyo ili mtawale mileleeeeeee pls
 
Back
Top Bottom