Mbezi Mwisho (Moro road) - MasakiHabari,
Jiji la Dar es salaam linakuwa na kutanuka kwa kasi sana. Lakini kuna maeneo yamefikiwa na barabara lakini hakuna huduma za usafiri wa Umma kuyafikia maeneo hayo...
Naongezea madale_mawasiliano kupitia makongo juu,madale _kariakoo kupitia matosa ,ubungo ,buguruni mpaka kariakoo
Asante atleast basi zipite posta zikaishie Kivukoni au stesheniMbezi Mwisho (Moro road) - Masaki
Buguruni - Makumbusho (kupitia Shekilango)....
Kweli.Asante atleast basi zipite posta zikaishie Kivukoni au stesheni
Msumi - KariakooHabari,
Jiji la Dar es salaam linakuwa na kutanuka kwa kasi sana. Lakini kuna maeneo yamefikiwa na barabara lakini hakuna huduma za usafiri wa Umma kuyafikia maeneo hayo...
msumi - kariakoo
mpigi magoe - kariakoo
msakuzi - kariakoo
hii mitaa watu wanateseka sana
dah.....ni shida sana sijui huku waliiasi serikali au laaaNiliisahau nyomi ya Msumi hivi kuna lami kule? Last time nilikuwa nawaona wakifika Mbezi Mwisho wananawa ili wasiende mjini na mavumbi
dah.....ni shida sana sijui huku waliiasi serikali au laaa
hamna dalili, kuna kipande kama km 4 hivi kinajengwa kwa level ya lami lakini sasa ni mwaka wa pili hamna hata dalili ya kwisha!!!!Kuna kipindi nilisikia kuna barabara itapita huko mpaka Mabwepande-Bunju
hamna dalili, kuna kipande kama km 4 hivi kinajengwa kwa level ya lami lakini sasa ni mwaka wa pili hamna hata dalili ya kwisha!!!!
pia pesa ipo kwa wanaojua kuitafutaPoleni sana kwa nyomi ile panahitaji lami kuliko hata kule Tandale
Mpigi Magoe na Msumi sidhani kama wakazi wa kule wanaowahi kwenda maeneo ya kazi huwa wanamaliza usingizi wao. Ni mwendo wa kuamka saa 10 alfajirimsumi - kariakoo
mpigi magoe - kariakoo
msakuzi - kariakoo
hii mitaa watu wanateseka sana
kwa sasa hamna maeneo ya dar yenye changamoto za usafiri kama ubungo watu wengi lakini barabara zote ni za vumbiMpigi Magoe na Msumi sidhani kama wakazi wa kule wanaowahi kwenda maeneo ya kazi huwa wanamaliza usingizi wao. Ni mwendo wa kuamka saa 10 alfajiri
na huku matajiri kupeleka magari siyo rahisi kwa sababu ya ubovu wa barabaraMpigi Magoe na Msumi sidhani kama wakazi wa kule wanaowahi kwenda maeneo ya kazi huwa wanamaliza usingizi wao. Ni mwendo wa kuamka saa 10 alfajiri