Mapendekezo ya namna bora ya kuhamia Dodoma

Train hizi ni nzur sana watu wengi watahama toka kwenye mabasi hvyo ushindani utapelekea mabasi ya hovyo yote kukosa abiria maana train itatumia muda mfupi zaid
 
mzee huu uzi ni unabii mtupu yanatimia, sasa hivi bila m10+ hupati kiwanja cha maana Dodoma
 
Sasa mbona MDA wote viongozi wako Dar 9 years baada ya Jpm kukurupuka na uamuzi huu? Serikali ni rasmi ina miji mikuu miwili ni nini faida Yake?
 
Uamzi wake
Sasa mbona MDA wote viongozi wako Dar 9 years baada ya Jpm kukurupuka na uamuzi huu? Serikali ni rasmi ina miji mikuu miwili ni nini faida Yake?
ulikuwa mzuri,,ninyie TU mliozoea kukaa Dar ndo mnaleta shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…