Mapendekezo ya kikosi cha leo Simba vs AS Vita

Mbona SS9 hawaonyeshi kwenye ratiba kama hiyo mechi itakuwepo leo??

Sent using Jamii Forums mobile app
Check hii
dstvtanzania-1547902192805.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kocha amejiamini mno kupanga kikosi kile. Mohamed Hussein na Gyan si watu wa kukaba na mzigo mzito unabakia kwa Wawa na Juuko. Mechi za ugenini zenye pressure timu ipangwe kiulinzi zaidi. Nilivyoona upangaji wa timu tu nikajua kuna mvua ya magoli hasa kwa jinsi nilivyofuatilia jinsi Vita walivyocheza baadhi ya mechi zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom