Ndoto pevu [emoji848][emoji848]Nawaombea simba wapate goli 2 As vita wapate goli 6.
Tshabalala?Kutokana na kasi na uwezo mkubwa wa timu ya AS Vita hasa wakiwa kwao, hiki ndio kikosi ambacho kitawapa tabu kikipangwa.
1) Manula
2) Mlipili
3)Bukaba
4)Juuko
5) Wawa
6) Kotei
7) Niyonzima
8) Mkude
9) Chama
10)Nicholas Gyan
11) Okwi
Supersub - Kagere akitoka Gyan. Timu itakuwa imara kwa watu wanaojua kukaba hasa pembeni kuzuia cross zao hatari sana. Hapo ulinzi ni zaidi ya ngome pale upanga lakini pia uwezo wa viungo kumiliki mpira utapunguza pressure nyingi. Gyan amecheza kama beki muda mrefu lakini ni mshambuliaji kiasilia, atasaidia timu ikielemewa lakini akipata nafasi anaweza kuwashangaza AS Vita kwa pasi ya goli au kufunga mwenyewe.
Sipendekezi Tshabalala na Gyan kucheza beki za pembeni kwa mechi yenye pressure kama hii na tena ugenini.
Mapendekezo na chagizo tu kuelekea mtanange wa leo. Mungu ibariki Simba sport club.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu niwe mkweli tu nafarijika sana mkifungwa kuliko Yanga anaposhinda.
Inapendeza kuona shabiki wa chura kindaki ndaki kukiri kuwa huwa anateseka Simba ikishinda maana kinyume Cha kusema Simba ikifungwa anafurahi ni kuteseka ikishindaMkuu niwe mkweli tu nafarijika sana mkifungwa kuliko Yanga anaposhinda.
Yeah nashangaa sijamuona kwenye line up yako
Hatuendi kuzuia ni lugha ya kuwaandaa AS Vita kisaikolojia tu ila unapokuwa ugenini unacheza na timu kama ile lazima nguvu kubwa iwe kwenye ulinzi na kushambulia inakuwa kwa mahesabu.Hatuendi kuzuia... ndugu weka hv_
Manula
Gyan
Wawa
Juurko
Zimbwe
Kotei
Mkude
Chama
Okwi
Kagere
Kichuya.
Sub:- dida, bukaba, mzamiru, haruna, dilunga,salamba,juma,mlipili
Ni mzuri akiwa na mpira kuliko kukaba. Kwa uchezaji wa As Vita tunahitaji wakabaji wa uhakika kuzuia cross kwa nguvu zote. AS Vita mipira yao mingi wanatumia mawinga wao ambao ni balaa kwa speed na cross.Yeah nashangaa sijamuona kwenye line up yako
Kichuya sio sahihi kuanza lazima tunaheshimu kidogo wapinzani...mzamiru Yasin Kama akiwa katika ubora angeanza ili acheze shimoni na kotei pamoja na mkude ili kuongeza nguvu kwenye kiungo na kuweka uwiano mzuri wa kulinda na kushambulia Leo ni kuwashambulia kwa mipira ya kasi kupitia okwi pembeni na mirefu kupitia kagere fomesheni ya 4-5-1 ingefaa zaidiHatuendi kuzuia... ndugu weka hv_
Manula
Gyan
Wawa
Juurko
Zimbwe
Kotei
Mkude
Chama
Okwi
Kagere
Kichuya.
Sub:- dida, bukaba, mzamiru, haruna, dilunga,salamba,juma,mlipili
Na uzuri furaha ya Simba kufungwa huwa inadumu miezi hata miwili.Inapendeza kuona shabiki wa chura kindaki ndaki kukiri kuwa huwa anateseka Simba ikishinda maana kinyume Cha kusema Simba ikifungwa anafurahi ni kuteseka ikishinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi SAA ngapi? Itaonyeshwa?Ni mzuri akiwa na mpira kuliko kukaba. Kwa uchezaji wa As Vita tunahitaji wakabaji wa uhakika kuzuia cross kwa nguvu zote. AS Vita mipira yao mingi wanatumia mawinga wao ambao ni balaa kwa speed na cross.
Sent using Jamii Forums mobile app
Al Ahly wanaongoza baada ya droo ya jana kwa point 4 Simba wakifata kwa point 3. Mechi ya leo ndio itatoa msimamo kamiliMsimamo wa group d Hadi jana upo vipi?
4-5-1 au 4-3-2-1 ambayo Kama moja tuu asimame mmoja tuu mbeleKichuya sio sahihi kuanza lazima tunaheshimu kidogo wapinzani...mzamiru Yasin Kama akiwa katika ubora angeanza ili acheze shimoni na kotei pamoja na mkude ili kuongeza nguvu kwenye kiungo na kuweka uwiano mzuri wa kulinda na kushambulia Leo ni kuwashambulia kwa mipira ya kasi kupitia okwi pembeni na mirefu kupitia kagere fomesheni ya 4-5-1 ingefaa zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Saa 1 usiku. Itaoneshwa na Azam tv kupitia ZBC 2 na DSTV kupitia SS9Mechi SAA ngapi? Itaonyeshwa?
Sawa mkongo unaishi Bongo kinyume na utaratibu ...Kila lakheri AS Vita piga hao underdog mbumbumbu