Mapendekezo: Reworking JF Business Forum | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapendekezo: Reworking JF Business Forum

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Entrepreneur, Jan 21, 2012.

 1. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  [FONT=&amp]Kuwepo kwa hii forum kumetuwezesha wengi wetu kujifunza mengi na kuongea na real millionaires and real entrepreneurs who have been there and done that.
  [/FONT]
  [FONT=&amp]Katika spirit hiyo hiyo ningependelea kuona jukwaa hili linakuwa la kwanza kwa kuzalisha wajasiriamali wengi na kutoa shule isiyolipiwa na isiyohitaji muda mrefu wa kukaa darasani. Hivyo basi ili kuboresha Jukwaa mimi ninapendekeza tuwe na kijiwe cha Success Stories (Subforum) ambapo JF Successful Entrepreneurs watakuwa wanatoa story zao- this is very inspirational guys. Ukipitia ile post ya ELNINO inayosema Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili utakubaliana nami.
  [/FONT]
  [FONT=&amp]Halafu tuwe na kijiwe cha DOCSTORE ambacho kitakuwa ni kwa ajili ya kuhifadhi templates kama MEMARTS, Trust Deeds… (itakuwa kama digital library) kwa wale wenye uhitaji ili kupunguza repetition of posts.[/FONT]

  [FONT=&amp]Wewe unapendekeza mabadiliko gani?[/FONT]
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  great

  kuwe na info za bei mbali mbali za mazao ya kilimo na vitu muhimu, ikiwamo exchange rates, bank interests rates etc zitakazokuwa updated daily to be current
   
 3. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  fantastic idea, i love it.
  ila ikianzishwa iyo subforum, tuache uchangiaji wa dharau, kebei etc. itabidi tuombe mods wairegulate kisawa.

  asante sana kwa kuleta wazo zuri.
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mawazo mazuri.
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  pia kuwe na thread moja ya kuhusu mikopo. Taarifa zote zitupiwe humo.
   
 6. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  na hata ya makosa iwepo kwa wale wenye guts...........washuhudie wenzio wapi ulikwamana huenda ukapata msaada wa kukwamuliwa hapa
   
 7. S

  Shadya Member

  #7
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Pia msisahau masoko ya kuuzia hizo bidhaa za ajasiriamali, pia annuani na mahali walipo wateja wa hizo bidhaa.
   
Loading...