Nijuavyo mimi Kila taasisi ya serikali ina kamati ya malalamiko. Kamati hii hushugukia malalamiko ya Ndani Na nje pia,halafu humjibu mlalamikaji hatua ambazo zimechukuliwa kutatua lalamiko husika
Sitaki kuamini kama Hawa jamaa hawana hii kamati maana kwa nature ya Kazi yao hii kamati muhimu sana.
Upo sahihi ni chombo cha ndani na kwa utaratibu kinatakiwa kiwe huru na kuripoti kwa mkuu wa taasisi husikaMkuu kama ipo itakua ya ndani, ambayo mara zote huwa si huru. Sijaona chombo huru chochote cha juu kinacho watazama na kusikilza malalamiko
Jitahidi kufuata maelekezo kama kuandika kazi na taasisi iliyopo hiyo nafasikwanza ninamika kibao naomba kazi utumishi hawajawahi niita kwenye usahili hapa najiluiza ivi nii tatizo?cv yangu mbovu, sio tosherezi au tatizo kitu gani......japo hakuna uwioano mzuri wanapoita watu kwenye usahili i mean watuwa wanakuwa kibao niltaniitwe tu nami nioneshere uwezo wangu.
Upo sahihi ni chombo cha ndani na kwa utaratibu kinatakiwa kiwe huru na kuripoti kwa mkuu wa taasisi husika
Mkuu wasiwasi wangu ni kuwa na utitiri wa vyombo huru ambavyo vinatumia pesa ya uma bila kuleta tija yoyote. Kwa Maana hiyo mimi Naona ni boraa kukipa makali chombo Cha ndani kwa kutumia policy za ndani kuliko kuanza kuunda kipya
Huo ni ukweli usiopingika,sekretarieti ya ajira imepoteza kabisa dhamira yake kwa sasa,Nina ushahidi wa kutosha jinsi Mashirika na Taasisi za serikali zinavyotoa shinikizo kwa chombo hiki juu ya wakina nani wanatakiwa waajiliwe.Mfano usaili uliofanyika hivi karibuni wa Tanroads.

Tupe uzoefu mkuu wamefanya nn kwenye huo usaili wa tanroads ?
Open recruitment ni sera tu ya serikali katika mambo ya uajili,lakini nani anastahili kupata ajira ni closed selection,nawasihi sana vijana tafuteni taarifa kwa kina,ili mjuwe ukweli,haya mambo yanasikitisha sana.kumbe usaili wao ni kiini macho.
Huo ni ukweli usiopingika,sekretarieti ya ajira imepoteza kabisa dhamira yake kwa sasa,Nina ushahidi wa kutosha jinsi Mashirika na Taasisi za serikali zinavyotoa shinikizo kwa chombo hiki juu ya wakina nani wanatakiwa waajiliwe.Mfano usaili uliofanyika hivi karibuni wa Tanroads.
Fafanua zaidi usahili wa Tanroads ulikua na nini?
Funguka mkuu..usaili wa Tanroads ulikuwa na walakini?
Ni vizuri wadau waweke wazi haya mambo ili wanaotafuta kazi wajue...sio unajitutumia unaenda kwa interview ya kazi ambayo imeshapewa mtu tayari..thats unfair!!
Kuna watu tayari kwa hizo nafasi,Sekretarieti wanaamlishwa tu.
Kuna watu tayari kwa hizo nafasi,Sekretarieti wanaamlishwa tu.