PIA FIKIRI MADINDA ALITELEKEZA AJIRA YAKE BAADA YA KUFANIKIWA KUWATOROKA POLISI WALIOMKAMATA AKIFANYA UJAMBAZI. KAJICHIMBIA HADI LEO HAJULIKANI ALIPO NA ANATAFUTWA NA POLISI Fikiri Madinda kizimbani Morogoro TUJIHADHARI SANA TUNAPOFANYA BIASHARA YOYOTE NA WATU HAWA NI HATARI KWA USALAMA WETU NA MALI ZETU
Pedeshee ni corrupt word for PDG yaani President & Director General....huko Congo huu ni wadhiwa wa wakuu wa taasisi za umma ambao hughaniwa sana na wanamuziki wa huko...wameileta huku kwetu na sisi kwa kuiga ndio hivyo tena
kweli jamani hawa wanaolipia hela nyingi ili majina yao yatajwe na wanamuziki ni kero hapa mjini.
umalaya wao, u machi noo wao, kuringa wao, ujambazi wao, du!!!!