Jazzie
Member
- Jan 30, 2008
- 73
- 35
Mapanki...tunakuja February 7, 2015.
Usishangae kwa nini tamthilia itakuwa na urefu wa kama dakika 10 tu hivi.
Kwa nini tumeamua tamthilia ya Mapanki iwe na urefu wa dakika 10 badala ya dakika 30 mpaka 60? Ni kwa sasabu mpango wetu ni kuonesha tamthilia yetu kupitia mtandao tu. Kwa kawaida, vituo vya luninga vinahitaji vipindi vya tamthilia viwe na urefu wa dakika 30 mpaka 60. Sisi lengo letu ni kukupa burudani bila kubanwa na fomula za vituo vya luninga.
Ndo ubunifu wenyewe huo, au siyo?
Kwa taarifa zaidi:
MAPANKI
PROMO iko hapa:
https://www.youtube.com/watch?v=Ysv6fSIhKqA