Mapambano Makali yanaendelea muda huu Somalia

Mapambano Makali yanaendelea muda huu Somalia

kambitza

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
2,045
Reaction score
1,326
Taarifa kutoka Somalia zinasema kwamba kumekuwa na makabiliano makali milipuko ikisikika katika eneo la hoteli moja inayotumika kama makao makuu ya vikosi vya Afrika vya kulinda amani.

Walioshuhudia mkasa huo wanasema hoteli hiyo iliyopo katika mji wa Bulo- burde, imeshambuliwa na wanamgambo wa Al -shabaab.

Taarifa zaidi zitaujia hivi punde

Chanzo - BBC
 
Vita haitaisha somalia mpaka islamic republic itawale
 
Back
Top Bottom