Habari wanajamvi.Najua wengi wetu ni watumiaji wa manukato.Nisaidieni kujua ni pafyumu au spray gain ya kike inayonukia vizuri ili nikanunue.Si mnajua manukato ni moja ya njia ya kumkonga moyo husband!
pako labana a million dola...
Kwenye perfumes unaweza kununua kati ya hizi, mind you ziwe EDP;
Allure (Chanel) - imetulia vizuri sanaaaa.
La Vie este Belle (Lancome) - ni toleo jipya kidogo ipo sweet ila ni nzuri (My latest lover)
Flower Bomb (V&R)- safi sana pia.
Cinema (Yves Saint Laurent)-amazing scent ya zamani ila ni perfume iko njema sana.
Cesare Paciotti for her - just wow!! top touch
They all speak of muted elegance.
paco rabbane-one million??!!
loading error.....
Hajasema anataka kukesha
hahahah check your mobile data
Samahani,misk inahusiana vipi na kukesha mkuu
Umenionea wapi mke wangu jamani
Kwani kukesha si ni kwa furaha au huzuni so kimoja hapo kitamuhusu!!!!
yupi nisije nikamsaka siye
haa!!?? Mimi nina wake wangapi humu kwani!!
Ukichepuka unarudi na matope.hahaha kwani huna michepuko shem
loading error.....
Huwezi kuipenda bila kunusaNtajie labda ntaipenda.
Habari wanajamvi.Najua
wengi wetu ni watumiaji wa manukato.Nisaidieni kujua ni pafyumu au spray
gain ya kike inayonukia vizuri ili nikanunue.Si mnajua manukato ni moja
ya njia ya kumkonga moyo husband!