Mapacha wasiofanana

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,509
Reaction score
2,863
Hivi kumbe inawezekana watu wakawa ni mapacha lakini wasifanane. Hii nimeona leo, mmoja yupo South America, mwingine yupo Africa. Huyu wa America juzi hapa katoa kibali kwa Wafaransa wanyonye mafuta, huyu huku wa Africa katoa Bandari, Mbuga.

Hii jinsia kweli huu mwaka itatunyoosha. Alafu kama wanafanana mdomo hivi.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…