The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,396
- 9,264
- Thread starter
-
- #21
Hongera mkuu! Aisee utaongeza tena au?
Hongera mkuu
Hongera
Hongera mkuu hakikisha unawapa malezi bora
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Jana mama watoto wangu kapata mapacha kwa mara nyingine tena, mapacha wa kwanza walizaliwa tarehe 20/04/2012 wa kike mmoja na wakiume mmoja na tena jana vivo hivyo wa kike mmoja na wa kiume mmoja. Mungu awabariki na awalinde.

jamani hongera mno ila nawaogopa sana mapacha.Hongera mkuu.Hao mafirst born wamepishana siku kidogo na mwanangu27/4/2012.Huwa natamani mapacha jamani hongera sana.Mungu akukuzie.