The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,396
- 9,264
Hongera sana mkuu, lakn huyo wakike unaniruhusu kuja kukupa posa moja kwa moja, akifika la saba mimi nachukua.
Hongera kijana.
Raha sana hongera
Tanguliza kwanza 7000 na kibuyu cha lita 3 za ukwaju.
Hongera
Hongera Baba wawili..pumzika sasa 4 wanatoshaa.
Hongera mkuu.Hao mafirst born wamepishana siku kidogo na mwanangu27/4/2012.Huwa natamani mapacha jamani hongera sana.Mungu akukuzie.
Kaxi nyengine iko kwenye ulezi, mungu amjalie mume mwema mwenye kumsaidia mkewe kwenye malezi