Mapacha 6 wanaoishi mpaka leo

Sijawahi kuwa na furaha kama hii before. Wamenibadilisha mfumo wa maisha kabisa, nafanyakazi siku 3 kwa wiki, nimepunguza kukaa bar, zile outing ndio nimesitisha kwa sasa na niko home sana kuliko before. Yaani healthy life, hakuna pombe pombe tena.

Hapo mwanzo ulikuwa "prodigo son?" nini mkuu....
ila hongera sana kwani "peace pf mind" ni jambo jema sana katika kubadilisha mtizamo wa maisha nakuleta furaha ilioje.
 
Yaani Kama hapo ukishasababisha mimba ikawa mapacha 6 sasa kuna haja gani kuendelea kuzaa au kuzalisha,umemaliza kwa mpigo tena 6 wengi sana

ahaaa.....mkuu umenena ,
kwahiyo mdau anaweza hata "kukodiwa " na "in-need"? akapige kazi bara bara....
 
Ila mapacha wa hivo hata hawafai watakuharibia family plan

mkuu usiseme hivyo mkuu Viol.... kwani mkuu Salamander atasikitika


yupo si utakimbia tu
kuna kuvunjika miguuu mkuu....ila ntajaribu, kwahiyo una nipa chance nije nitupe ndoano?

Inapendeza sana..
tena sana mkuu..... mpe hi mama kayayiii.
 
Last edited by a moderator:
ila utaitwa mwizi ukubalia na ukikamatwa unapigwa

naamini utanitetea kutoka mikononi mwa kipigo anachopewa mwizi kwani nitakuwa ninaiba kilicho "halali" kuibiwa au wasemaje mkuu.... miss chagga ?
 
Last edited by a moderator:
Haahahahahhahah...hapo sasa inatakiwa jamaa watafute wanaume sasa
 



Hao SIYO MAPACHA! Neno pacha linahusisha tu vitu viwili vinavyolingana sasa hao watoto ni zaidi ya wawili hivyo hawawezi kuwa mapacha!

​
 



Hao SIYO MAPACHA! Neno pacha linahusisha tu vitu viwili vinavyolingana sasa hao watoto ni zaidi ya wawili hivyo hawawezi kuwa mapacha!

​

Kumbeee... kwakweli nilikuwa sielewi kitu hapo.
Haya wewe mkuu limetumbuka naomba unieleweshe uzao wa namna hiyo unaitwaje , kwa niaba yangu na wasomaji wa JF pendwa.
 
Last edited by a moderator:
Kumbeee... kwakweli nilikuwa sielewi kitu hapo.
Haya wewe mkuu limetumbuka naomba unieleweshe uzao wa namna hiyo unaitwaje , kwa niaba yangu na wasomaji wa JF pendwa.

SIJUI! Hatuna hilo jina bado kwani mambo kama haya hutokea kwa nadra sana hivyo hatujapata bado jina lakini SIYO Mapacha!
 
SIJUI! Hatuna hilo jina bado kwani mambo kama haya hutokea kwa nadra sana hivyo hatujapata bado jina lakini SIYO Mapacha!

sasa mkuu limetumbuka ninapata wasi wasi kuwa hata ulicho kikataa kina walakini kwani wewe mwenyewe hujui kile unacho kikataa...labda tusubilie wajuvi wa mambo esp the proficiency prescriptivist to solve the given phenomenon.
 
Last edited by a moderator:
Ufuatao ni mlolongo wa majina ya wazaliwao pamoja.


Wawili = mapacha
Watatu = mapata
Wanne = mapane
Watano = mapatano
Sita. = mapasi
Saba. = mapasa
Nane. = mapana
Tisa. = mapati
 
Ufuatao ni mlolongo wa majina ya wazaliwao pamoja.


Wawili = mapacha
Watatu = mapata
Wanne = mapane
Watano = mapatano
Sita. = mapasi
Saba. = mapasa
Nane. = mapana
Tisa. = mapati

Kamusi ya kiswahili_TUKI
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…