Kim-Jong-Un
JF-Expert Member
- Jan 23, 2015
- 356
- 190
hivi ndivyo walivyo kwa sasa.....sijui nichague yupi kati yao?
Uchague? Kama maembe!
Amazing aiseee, lucky family
Amazing aiseee, lucky family
I have 3 months twins too. Amazing creatures to have in the house.
I have 3 months twins too. Amazing creatures to have in the house.
Hongera sana mkuu, Mungu ni mwema sana. Mama yangu mkubwa (mke mkubwa wa mzee wangu) alizaa twins mara5???
Zamani watu walikuwa hawaogopi kuwapanga.Mi ndio nimeanza, nafikiria kuongeza mmoja baada ya miaka miwili, but who knows, labda mapacha tena.
You real deserve to have such a couple family. Hongera mkuu.
nichague mimi nipo mwenyewe
Naona umewahi. Watu wanaogopa wakisikia story za wakinadada wa kimachame, sijui kweli au wanawasingizia.
ni kweli .. kujua adui ni nusu ya ushindi
Lakini hizi story zinawahusu wale waliokulia Machame tu, au hata hawa wa Mwenge na Kijitonyama?
nichague mimi nipo mwenyewe
tendo moja tu huna haja tena ya kuzaa
tendo gani hilo mkuu....?