Map

sakharov

Senior Member
Joined
Jan 28, 2015
Posts
122
Reaction score
13
Wajumbe mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 33 Ni
Mwajiriwa wa Serikali, nimeoa na nina mtoto wa kiume mwenye
umri wa miaka 3. Licha ya kwamba niko kwenye ndoa, lakini ilitokea siku moja asubuhi nikiwa barabarani na gari langu nikitokea nyumbani
kwangu Mitaa ya Kihonda Magorofani nikielekea kazini Morogoro
mjini.Nilikutana na Mwanafunzi kavaa sare za shule na alikuwa
akielekea shuleni nae.Nilisimamisha gari na kumuuliza kama
anaenda shuleni maana baada ya kuona sare alizovaa niliweza
kutambua ni shule gani anasoma.Baada ya kumuuliza kama
anaenda shule aliitikia kwamba anaenda shuleni, nilitoa Lock ya
Milango ya gari nikamwambia apande nimsogeze kidogo.
Cha kushangaza niliona akifungua mlango wa mbele na kuingia
maana nilikuwa peke yangu.Niliondoa gari tayari kuendelea na
safari,tukiwa njiani niliweza kumuuliza jina lake, wazazi wake
kadharika tulipeana hadi namba za simu. Baada ya siku mbili alinitumia msg iliyosomeka hivi. "Shikamoo, Habari ya kazi?Nimeona sio vizuri kukaa kimya wakati juzi ulinisaidia nikawahi shuleni.Jioni Njema na karibu nyumbani."
Bahati mbaya hiyo msg sikuweza kuijibu maana nilikuwa niko na
wife na zaidi niliifuta baada ya kuisoma.Baadae nilitafuta nafasi
nikampigia kumjulisha msg yake nimeipata akadai amefurahi sana
kusikia sauti yangu.Na mimi kama mwanaume nikamuomba
atafute muda japo siku moja tukutane tena tuongee.Alikubali na
kuniahidi nimtafute siku za Ijumaa jioni, Juma mosi na jumapili
maana hizo siku anakuwa free. Ilipofika Ijumaa nilimtafuta tukaenda Hotel moja nje kidogo ya Mji tukaongea sana na ikafikia hata mimi nikamwambia namtaka, alionekana mpole na akakubali ombi hilo pia akaomba tukutane
siku inayofuatia ambayo ni Juma Mosi.Tuliingia kwenye gari
nikamuacha jirani na nyumbani kwao na mimi nikarudi kwangu
Jumamosi mida ya saa 8 alinibeep nikampigia then nikamwambia
ajiandae ndani ya nusu saa nitampitia. Time ilipofika nilimpitia
sehemu tuliokubaliana tukaelekea sehemu husika, huko huko ndio
tulipeana mapenzi(Nilimgegeda effectively). Baada ya siku hiyo
kugegeda ikawa Continuously. Ila shida imekuja sasa huyu binti anadai nimpeleke nyumbani kwangu ili nikamtambulishe kwa Mke wangu ili wafahamiane. Nimejaribu kumshauri kwamba yeye bado ni mwanafunzi hivo
atulie kwanza amalize masomo yake lakini hanielewi Anadai kila siku asubuhi niwe nampeleka shuleni na jioni kumrudisha kwa gari langu.Hilo nalo nikamshauri kwamba isiwe kila siku ila pale tukapoona inafaa bado haelewi. Nimemkataza kunipigia simu au kutuma msg hasa mida ya usiku
maana mke wangu atanielewa vibaya hilo nalo haelewi Amechukua namba ya simu ya mke wangu kwenye simu yangu bila mimi kujua na kumpigia simu mke wangu nae akiwa kazini kwake akimtaarifu kuwa yeye ni mke mwenzie na baadae kurusha msg kibao akidai huo ni utambulisho tosha.Kwa ujumla siku hiyo hayo yote yalipotendeka mimi na mke wangu hatukulala kwa amani kabisa,Wife alilia karibu akataka kukesha Nilimfuata yule Binti nikamuonya vikali nusura kuchapa makofu na nikamwambia simuhitaji tena ila yeye kakomaa kwamba kama nataka kumpiga sababu ya mke wangu basi na nikimuacha anajiua na kuacha ujumbe.Ameenda mbali kuniambia kwamba nimemuharibia akili zake maana toka nifanye nae mapenzi hana
hamu kabisa ya kusoma au kwenda shuleni. Wakuu nifanye hapo, Kuna hatari mbili ambazo ni:

1. Ndoa kuvunjika (Wakati tayari tuna mtoto)
2. Kwenda Jera (ukizingatia huyu ni Mwanafunzi)

Naomba mchango wenu
 
Kubali kwenda jela ili wenzio waishi kwa amani,, tamaa zako zimekuponza
 
Hii mbona ilishaletwa hapa tena au siyo hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…