Inamonga JF-Expert Member Joined Jun 25, 2016 Posts 779 Reaction score 476 Jul 25, 2016 #1 Habari wataalamu wa kilimo na ufugaji. Naomba kufahamu maonesho ya nane nane morogoro huwa yanafanyika katika viwanja hivyo hata kama sherehe hazifanyiki mkoani hapo kitaifa? Naomba kufahamu kuna vitu nataka nikajifunze hapo.
Habari wataalamu wa kilimo na ufugaji. Naomba kufahamu maonesho ya nane nane morogoro huwa yanafanyika katika viwanja hivyo hata kama sherehe hazifanyiki mkoani hapo kitaifa? Naomba kufahamu kuna vitu nataka nikajifunze hapo.
Mr.genius JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 1,372 Reaction score 1,207 Jul 25, 2016 #2 Mkuu karibu sana kujifunza, hua yanafanyika
Inamonga JF-Expert Member Joined Jun 25, 2016 Posts 779 Reaction score 476 Jul 25, 2016 Thread starter #3 Mr.genius said: Mkuu karibu sana kujifunza, hua yanafanyika Click to expand... Asante sana ndugu yangu, ntakwepo hapo bila kukosa.
Mr.genius said: Mkuu karibu sana kujifunza, hua yanafanyika Click to expand... Asante sana ndugu yangu, ntakwepo hapo bila kukosa.
Loshoro wa kb JF-Expert Member Joined Jul 25, 2016 Posts 201 Reaction score 97 Jul 25, 2016 #4 Wakati huu yanafanyikia wapi wakuu nataka nikajifunze nianze ukilima rasmi
Jerhy JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 3,135 Reaction score 1,001 Jul 25, 2016 #5 Maandalizi yanaendelea vipando na mazao tofauti yamestawishwa kutoa shamba darasa kwa wageni watakaofika kujifunza, karibu sana mji kasoro bahari
Maandalizi yanaendelea vipando na mazao tofauti yamestawishwa kutoa shamba darasa kwa wageni watakaofika kujifunza, karibu sana mji kasoro bahari
Inamonga JF-Expert Member Joined Jun 25, 2016 Posts 779 Reaction score 476 Jul 27, 2016 Thread starter #6 Jerhy said: Maandalizi yanaendelea vipando na mazao tofauti yamestawishwa kutoa shamba darasa kwa wageni watakaofika kujifunza, karibu sana mji kasoro bahari Click to expand... Tuna kuja mkuu..
Jerhy said: Maandalizi yanaendelea vipando na mazao tofauti yamestawishwa kutoa shamba darasa kwa wageni watakaofika kujifunza, karibu sana mji kasoro bahari Click to expand... Tuna kuja mkuu..
Jerhy JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 3,135 Reaction score 1,001 Aug 1, 2016 #7 Leo yamefunguliwa rasmi na waziri mkuu kwa hotuba nzuri yenye tija kwa wakulima, akiambatana na mkuu wa mkoa wa DSM, wakuu wa wilaya za DSM, Tanga na Pwani.
Leo yamefunguliwa rasmi na waziri mkuu kwa hotuba nzuri yenye tija kwa wakulima, akiambatana na mkuu wa mkoa wa DSM, wakuu wa wilaya za DSM, Tanga na Pwani.
Nickson Mjuni Member Joined Jul 10, 2016 Posts 47 Reaction score 26 Aug 1, 2016 #8 Yanafanyikia viwanja gan? Na ni shs ngap?
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 30,097 Reaction score 41,716 Aug 2, 2016 #9 Nickson Mjuni said: Yanafanyikia viwanja gan? Na ni shs ngap? Click to expand... Viwanja vya Nanenane moro
Nickson Mjuni said: Yanafanyikia viwanja gan? Na ni shs ngap? Click to expand... Viwanja vya Nanenane moro
T truckdriver JF-Expert Member Joined May 7, 2012 Posts 562 Reaction score 266 Aug 2, 2016 #10 Kuna aliyefanikiwa kwenda nanenane atuambie yaliyopo huko
Msuya Jr. JF-Expert Member Joined May 31, 2013 Posts 1,691 Reaction score 901 Aug 3, 2016 #11 Ni official ama, kwa moro mwaka huu sio