Maonyesho ya Nane nane kitaifa

Maonyesho ya Nane nane kitaifa

chox1285

Member
Joined
Jan 9, 2016
Posts
20
Reaction score
6
Msaada jamani kwa anayefahamu maonyesho ya nanenane kwa mwaka huu yatafanyikia wapi kitaifa nahitaji kwenda kujifunza mambo mbalimbali
 
Msaada jamani kwa anayefahamu maonyesho ya nanenane kwa mwaka huu yatafanyikia wapi kitaifa nahitaji kwenda kujifunza mambo mbalimbali

Sifahamu ni wapi ila kama una muda nenda nane nane arusha hapo nina uhakika utajifunza vitu vingi
 
Back
Top Bottom