Hivi Nikuulize hasira yako ni nini hasa? Kwani unamjua niliyemwota? Huoni ni uhayawani kumtukana Mtu kisa tu Kasimulia Ndoto? Suppose ningekusimulia ile niliota ya Kijana mmoja akibebwa na Mafisi wawili na kwenda kufukia Mburahati? Utanitukana? Nimekukosea nini? Ikiwa wewe sii mmoja wa hao fisi wawili?