Kuna mdogo wangu anatarajia kuanza kusoma degree ya LINGUISTICS chuo kikuu mwaka huu lakini ana mpango wa kubadili mawazo kutokana na kile anachokiskia kuwa Linguistics ni ngumu sana na ni rahisi sana kudisco.
Sasa ndugu zangu naombeni mawazo yenu kuwa Je, ni kweli kuwa Linguistics ni ngumu sana kiasi cha kuwa rahisi sana kudisco?
Lakini pia ushauri wenu kwake ili asidisco Linguistics.