neurosurgeon
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 376
- 355
Mimi naona huna hoja swala la mapenzi ni la kwako, umechagua mwenyeww uliyanaye . Pili Kama hapendi ndugu zako unakaanaye naye wa nini. Ndoa ni chagua lako mwenyewe ukikosea utajijua mwenyewe.1. Historia ya familia ya kwanza Adam na Eve ina testify hili
2. Hata kwenye mahusiano chunguza sana..ushaur wa negative kuhusu rafiki zako, ndugu zako etc conversation hyo ya kwanza utaona anaanzisha mwanamke.
Atakwambia "Yule rafiki yako mbona hiki mbona kile...anakulia pesa zako etc"
Au atakwambia kwann mama yako asiende uguziwa nyumban au huyu mtoto wa ndugu usimsomeshee huko huko kwao
3. Wao ndio watoaji mimba...u cant kill some1 inside you..hili tendo ni la ukatili sana, tunachukulia poa tu na huwez justify kuua mtu...decision hii anafanya mwanamke
4. Treatment ya mwanamke kwa mwanamke au mwanamke kwa mwanaume kwenye chochote ni tofaut kabisa na treatment ya mwanaume kwa mwanamke au mwanaume kwa mwanaume. Chunguza tuu..kwenye mambo yote mwanamke hana humility
Hebu angalia mfano wa mama mwenye nyumba na msaidiz wa kazi..mfano m1 tu huu.
Hata mfano wa mama wa kambo kwa mtoto ...ni kama custom yan
5. Ni rahis sana kwa mwanamke kuonyesha hypocrisy kuliko mwanaume...chunguza the way wanavyosifiana wakiwa pa1 akat pemben ni maadui wakubwa
Wanaongoza pia ku fake orgasm ..(out of context)
6. Mambo ni mengi sana
N.b..wanatuzaa..ndo mama zetu dada zetu..hawahawa...ni mtihan mkubwa sana
Kumbuka pia...
Upendo wa kwel kwa mwanamke UPo kwa mtoto wake wa kumzaa peke yake..tena yule anaemzaa na kumshika...ingaea wapo wanaotupa watoto pia...ndo ajab lingne hilo la hawa ndugu zetu
Mwanamke hathamini kingne zaid ya hiko...maana mengne yote kwa mwanamke ni ya kando
Uzi tayar.
Mimi naona huna hoja swala la mapenzi ni la kwako, umechagua mwenyeww uliyanaye . Pili Kama hapendi ndugu zako unakaa wa nini. Ndoa no chagua lako mwenyewe ukikosea utajijua mwenyewe.1. Historia ya familia ya kwanza Adam na Eve ina testify hili
2. Hata kwenye mahusiano chunguza sana..ushaur wa negative kuhusu rafiki zako, ndugu zako etc conversation hyo ya kwanza utaona anaanzisha mwanamke.
Atakwambia "Yule rafiki yako mbona hiki mbona kile...anakulia pesa zako etc"
Au atakwambia kwann mama yako asiende uguziwa nyumban au huyu mtoto wa ndugu usimsomeshee huko huko kwao
3. Wao ndio watoaji mimba...u cant kill some1 inside you..hili tendo ni la ukatili sana, tunachukulia poa tu na huwez justify kuua mtu...decision hii anafanya mwanamke
4. Treatment ya mwanamke kwa mwanamke au mwanamke kwa mwanaume kwenye chochote ni tofaut kabisa na treatment ya mwanaume kwa mwanamke au mwanaume kwa mwanaume. Chunguza tuu..kwenye mambo yote mwanamke hana humility
Hebu angalia mfano wa mama mwenye nyumba na msaidiz wa kazi..mfano m1 tu huu.
Hata mfano wa mama wa kambo kwa mtoto ...ni kama custom yan
5. Ni rahis sana kwa mwanamke kuonyesha hypocrisy kuliko mwanaume...chunguza the way wanavyosifiana wakiwa pa1 akat pemben ni maadui wakubwa
Wanaongoza pia ku fake orgasm ..(out of context)
6. Mambo ni mengi sana
N.b..wanatuzaa..ndo mama zetu dada zetu..hawahawa...ni mtihan mkubwa sana
Kumbuka pia...
Upendo wa kwel kwa mwanamke UPo kwa mtoto wake wa kumzaa peke yake..tena yule anaemzaa na kumshika...ingaea wapo wanaotupa watoto pia...ndo ajab lingne hilo la hawa ndugu zetu
Mwanamke hathamini kingne zaid ya hiko...maana mengne yote kwa mwanamke ni ya kando
Uzi tayar.
Mzee Binadamu tumepewa akili ya kufikiri, kuchambua na kuja na maamuzi so makosa yako usimlaumu mtu mwingine. Hoja ya adamu alikuwa anauwezo wa kukataaa ushawishi wa Eva so jiongezee mwenyewe Kama alikosea au hakukoseaKwahyo hata adamu alikosea.
Uliielewa mada lakin?...Mimi naona huna hoja swala la mapenzi ni la kwako, umechagua mwenyeww uliyanaye . Pili Kama hapendi ndugu zako unakaa wa nini. Ndoa no chagua lako mwenyewe ukikosea utajijua mwenyewe.
Mzee Binadamu tumepewa akili ya kufikiri, kuchambua na kuja na maamuzi so makosa yako usimlaumu mtu mwingine. Hoja ya adamu alikuwa anauwezo wa kukataaa ushawishi wa Eva so jiongezee mwenyewe Kama alikosea au hakukosea
Hata petrol usipo i ignite haiwaki.so lazimaa kuwe na kianzisha moto ..so uzi umelenga katika kumtambua kianzisha moto....stick kwenye mada mkuu .........na upgrade ua thinking.Mimi naona huna hoja swala la mapenzi ni la kwako, umechagua mwenyeww uliyanaye . Pili Kama hapendi ndugu zako unakaa wa nini. Ndoa no chagua lako mwenyewe ukikosea utajijua mwenyewe.
Mzee Binadamu tumepewa akili ya kufikiri, kuchambua na kuja na maamuzi so makosa yako usimlaumu mtu mwingine. Hoja ya adamu alikuwa anauwezo wa kukataaa ushawishi wa Eva so jiongezee mwenyewe Kama alikosea au hakukosea
hahahahahaaaSo waarabu ni watoto wa beki tatu?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata petrol usipo i ignite haiwaki.so lazimaa kuwe na kianzisha moto ..so uzi umelenga katika kumtambua kianzisha moto....stick kwenye mada mkuu .........na upgrade ua thinkingkwah
Tatizo lako unataka tukubaliane na mawazo yako kwahiyo mwanamke akianzisha huo Moto wewe huwezi kuuzima? Swala ni kwamba whether Ana makosa au Hana anaanzisha au anamaliza bado wewe una akili ya kuchakata Mambo so unaweza kupima na kuamua so kukimbilia yeye ndio amenisababishia haya. Kwani usingemuacha?Hata petrol usipo i ignite haiwaki.so lazimaa kuwe na kianzisha moto ..so uzi umelenga katika kumtambua kianzisha moto....stick kwenye mada mkuu .........na upgrade ua thinking.
Mkuu...mim sijisifii....sijawai kuwa na tatzo la kupata mwanamke..hata watu wanaosoma nyuz zangu wanafaham hilo...yaan inshort mim ndio nawaaendesha wanawake....
Kwahyo umekosea ...huyo mtu si mim
Tukirud kwenye uzi...jibu hoja usikurupuke..kanusha nilichokisema sio kuni attack kama unanijua vile....
I got 99 problems lakin mwanamke hajawai kuwa tatzo kwangu...nna madem weng nawakimbia mim..
Kanusha nilichoandika kwenye uzi mkuu.rahis tu
Bas sawa mkuu.tuishie hapaTatizo lako unataka tukubaliane na mawazo yako kwahiyo mwanamke akianzisha huo Moto wewe huwezi kuuzima? Swala ni kwamba whether Ana makosa au Hana anaanzisha au anamaliza bado wewe una akili ya kuchakata Mambo so unaweza kupima na kuamua so kukimbilia yeye ndio amenisababishia haya. Kwani usingemuacha?
Kwa haraka haraka tu fanya tafit zako..uliza watu 10 maswal hayaWanawake wamekuwa msaada kwangu hizo chuki unazoona labda kwa hao waliokuzunguka kuna wanawake wanakaa na hiusegirls vizuri na hata watoto wakambo bila shida.
Na kama wanawake ni source ya destruction wewe mbona uko hai? Au baba alienda labour? Ukiona jamii wanawake wana roho mbaya jua hata kizazi chao ni cha nyoka.
Hao unaona ona wana roho mbaya angalia hata wanaume wanaowazunguka
Funguka mjomba ulitaka kuvunjq mtu mgongo nn ?#4 imenikumbusha siku nilijifunza kuficha hisia zangu
Gals are STUPID
Karibu kila ulichoandika hapo sababu ni nyie wanaume...Kama hujakataa mimba ataitoa vipi?1. Historia ya familia ya kwanza Adam na Eve ina testify hili
2. Hata kwenye mahusiano chunguza sana..ushaur wa negative kuhusu rafiki zako, ndugu zako etc conversation hyo ya kwanza utaona anaanzisha mwanamke.
Atakwambia "Yule rafiki yako mbona hiki mbona kile...anakulia pesa zako etc"
Au atakwambia kwann mama yako asiende uguziwa nyumban au huyu mtoto wa ndugu usimsomeshee huko huko kwao
3. Wao ndio watoaji mimba...u cant kill some1 inside you..hili tendo ni la ukatili sana, tunachukulia poa tu na huwez justify kuua mtu...decision hii anafanya mwanamke
4. Treatment ya mwanamke kwa mwanamke au mwanamke kwa mwanaume kwenye chochote ni tofaut kabisa na treatment ya mwanaume kwa mwanamke au mwanaume kwa mwanaume. Chunguza tuu..kwenye mambo yote mwanamke hana humility
Hebu angalia mfano wa mama mwenye nyumba na msaidiz wa kazi..mfano m1 tu huu.
Hata mfano wa mama wa kambo kwa mtoto ...ni kama custom yan
5. Ni rahis sana kwa mwanamke kuonyesha hypocrisy kuliko mwanaume...chunguza the way wanavyosifiana wakiwa pa1 akat pemben ni maadui wakubwa
Wanaongoza pia ku fake orgasm ..(out of context)
6. Mambo ni mengi sana
N.b..wanatuzaa..ndo mama zetu dada zetu..hawahawa...ni mtihan mkubwa sana
Kumbuka pia...
Upendo wa kwel kwa mwanamke UPo kwa mtoto wake wa kumzaa peke yake..tena yule anaemzaa na kumshika...ingaea wapo wanaotupa watoto pia...ndo ajab lingne hilo la hawa ndugu zetu
Mwanamke hathamini kingne zaid ya hiko...maana mengne yote kwa mwanamke ni ya kando
Uzi tayar.
Kwa haraka haraka tu fanya tafit zako..uliza watu 10 maswal haya
1.kat ya mwanaume na mwanamke nan mwenye historia ya kutesa watoto wa kambo
2.kat ya mwanaume na mwanamke nan anaongoza tesa wadada wa kaz
3.mimba anatoa nani
Ukipata majib..pima uzan umeelekea wap..utapata majib mkuu
Noo ukipenda mtu huwezi mpigaF
Funguka mjomba ulitaka kuvunjq mtu mgongo nn ?