Nadhani anashindwa kuitumia hii kauli vixuri. Kimsingi mwanamke ukimuachia akupande.. akuongoze. Atakupoteza siku zoteishini nao kwa akili.
Mkuu...mim sijisifii....sijawai kuwa na tatzo la kupata mwanamke..hata watu wanaosoma nyuz zangu wanafaham hilo...yaan inshort mim ndio nawaaendesha wanawake....Muhanga mwingine wa kukataliwa na kupigwa chini na Wanawake huu, chuki, kulia lia hakukusaidii, jipange upya, labda watakukubaki next time, Mwanaume mwenye uwezo wa kupata mademu atakao hawezi kuchukia Wanawake hata siku moja, Wanawake ni wazuri sana, ...
Kumbe wahenga waliyaeleza haya muda tuBOB MARLEY - Adam and Eve Lyrics
The lord named Adam and Eve,
to live a happy life.
In the garden of Eden,
but they disobeyed.
I wanna know,
why they sin,
in the garden of Eden.
It`s a devilman`s affair,
in the shake of a surfband.
And they broke the fruit of life
and everyone of us is living in sin.
Any anywhere you go,
woman is the root of all evil.
He was the first one to break a fruit
and everyone of us is living in sin.
The lord named Adam and Eve,
to live a happy life.
In the garden of Eden,
but they disobeyed.
I wanna know,
why they sin,
in the garden of Eden.
It`s a devilman`s affair,
in the shake of a surfband.
And they broke the fruit of life
and everyone of us is living in sin.
Any anywhere you go,
woman is the root of all evil.
He was the first one to break a fruit
and everyone of us is living in sin.
Upendo wao ni wa sabab...there has to b a reason kwa yeye kupenda..na ndomana kwa asili mwanaume ndio anampenda mwanamke na kumfata.so ku love back ni jukum la mwanamke.anaweza asikupende na akawa nawewe vilevilePia ndio wanaongoza kwa upendo
Ile ya Samson Na delilah, daa inaumiza sana. But hata kinachoe endelea mashariki ya kati ni matokeo ya mwanamke pia, Ibrahim alijitulia zake haku mind sana kutokua na mtoto, mkewe ndiye alimsahwishi amle beki 3 wao ili beki 3 awazalie mtoto, mshua akakubali, kapiga show moja tu, kitu kikaitika, kilichotkea ndio uzao wa Waarabu leo, shida na Waisrael haziishi. Kama asingezaa na beki 3 huenda mambo yangekwenda sawaAdam vs Eve
Samson vs Delilah
So waarabu ni watoto wa beki tatu?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ile ya Samson Na delilah, daa inaumiza sana. But hata kinachoe endelea mashariki ya kati ni matokeo ya mwanamke pia, Ibrahim alijitulia zake haku mind sana kutokua na mtoto, mkewe ndiye alimsahwishi amle beki 3 wao ili beki 3 awazalie mtoto, mshua akakubali, kapiga show moja tu, kitu kikaitika, kilichotkea ndio uzao wa Waarabu leo, shida na Waisrael haziishi. Kama asingezaa na beki 3 huenda mambo yangekwenda sawa
Kabisa, mtu akibisha naleta ushahidi humuSo waarabu ni watoto wa beki tatu?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]