Lububi
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,155
- 3,801
Kuhusu sintofaham ya uwekezaji wa madini, yafuatayo wazalendo wote hatutofautiani; mosi ni KWELI TUNAIBIWA(kwa njia ya kukubali au kushinikizwa kuibiwa). Pili ni LAZIMA TUFANYE KITU KUJIKWAMUA.
Maoni yangu ni kwanza Tuwaeleze wanaotunyonya kuwa tumeshajua ukweli kitambo na tungependa marekebisho haya na yale kwa manufaa ya wote. Kwa vile hii ni njia ndefu na ngumu kufika makubaliano, tufanye haya:
Tufute ukomo wa urais na tafsiri ya neno demokrasia iendane na matakwa yetu kama jamii huru. Ili kama rais Ngosha pekee kuthubutu, ameamua kidhati kutukwamua awe na nafas ya kujaribiwa zaidi na kusimamia mipango ya mda mrefu na mfup.
Kwa vile mabeberu hutumia vyama pinzani au vikundi vya uasi kuyumbisha utawala wa haki unaolinda maslahi ya watu wake tufute vyama vya siasa kiwepo kimoja na wabunge wadhibitiane.
Tunajua siasa ndo siraha kubwa ya mabeberu ukiwakwaza wanaunda zengwe had vita unapotea kutawala, tena kwa kudhalilishwa. Iwe ndan au nje ya chama chako.
Pili kama Siasa za vyama na chama tawala ni kikwazo basi tuunde mpango wa jeshi kuipindua serkali ili iifute mikataba mibovu ya awali iwe tulipe maden au tukatae(hata gadhaf alianzia hapa kwenye mapinduzi).
Tahadhari ni wananchi kukubali kuumia mwanzo kwa faida ya baadae. Ikiwemo kujizoeza vikwazo!