Maoni yangu kwa watanzania wote

Maoni yangu kwa watanzania wote

Neewly

Member
Joined
Jun 9, 2021
Posts
5
Reaction score
3
Watanzania wenzangu nawaomba sana tuelewe jambo hili ambalo likizingatiwa litakuwa na faida kwetu na kwa vizazi vyetu na vijavyo.

Mtanzania mwenzangu unapotoa hoja au maoni hakikisha hukandamizi kabila la mtu, dini na imani ya mtu. Jambo hili limekuwa likijitokeza katika nyuzi mbalimbali, hali hii ikiendelea inaweza ikaleta mpasuko mkubwa baina yetu watanzania na vizazi vyetu.

Naipenda Tanzania
Kuwa mzalendo
Sisi ni wamoja wa Tanzania mojaView attachment 2003436

FB_IMG_16344976591264614.jpg
 
Mwendazake nn,kaharibu kabila la watu wakat yeye alkuwa mrundi
 
Back
Top Bottom