r tumbwiza
Member
- Jul 28, 2015
- 17
- 10
habari za hapa jamvini
kwa kile kinachoendelea kwenye siasa zetu vuta nikuvute za hapa na pale muamko wa watu katika siasa na ushabiki kuongezeka maradufu na pressure za hapa na pale kwa kile kinachotokea kwenye kampeni
baada ya uchaguzi mambo haya kuwa kwenye chama kimoja wapo cha siasa kwa kile nilicho kiona kwa kila chama kuendeshwa kwa mizengwe na upendeleo bila kusahau uonevu hivo hizi ndio sababu kwa ccm kuvunjika hata kusambaratika
chama kukosa uadilifu
kukithir kwa rushwa
utendaji mbovu wa kulindana
hivo kama wakishindwa uchaguzi huu baazi ya viongozi waadiliifu wataondoka na kuangalia chama cha uadilifu nk
na kama chadema ikishindwa kwenye uchaguzi huu pengine haya yanaweza tokea
baadhi ya makada kukosa amasa na kuacha siasa hii nikutokaa na hali ilivo ya siasa na watu kuelewa sana upinzan kuliko ccm je wakikosa watu watarudisha mrejesho kwa dr slaa na kuanza kuamini
mapendekezo kila chama kipiganie kipate majimbo mengi kunusuru chama ila kwa takwimu ndogo mm kijana wa form2 naona graph moja linapanda kwa kasi na jengine kushuka kukompasate idadi ya majimboo mm cjui ni ipi ila JIONGEZE USITUPE KURA YAKO CHAGUA KIONGOZI BORA