OGTV
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 353
- 167
Kukosekana kwa maji katika msimu huu wa kiangazi huenda ukapunguza kasi ya uzalisha.
Licha ya kukamilika kwa kiasi kikubwa kwa mradi kitaifa wa njia kuu ya umeme na ujenzi wa vituo vya kupoza na kusambaza umeme katika baadhi ya mikoa tatizo la kukosekana kwa maji katika msimu huu wa kiangazi uenda ikapunguza kasi ya uzalishaji umeme na kufikwa kwa kiwango cha utoaji huduma kwa wateja nchni.