Maoni yako: Hali ya Tanzania baada ya uchaguzi

Maoni yako: Hali ya Tanzania baada ya uchaguzi

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,024
Reaction score
59,684
Wadau hali ya Nchi yetu tunayoipenda na hatma yake ipo mikononi mwetu sisi watanzania, mimi binafsi sijui kitu gani kitatokea baada ya uchaguzi.

Mpaka sasa hivi kuna sintofahamu baadhi ya balozi wamewapa onyo wananchi wao kuondoka au kuwa makini. Biashara ya utalii nayo nina uhakika kwa sasa ipo stagnant. Kuna baadhi ha balozi zinategemea kufungwa kabisa.

Vipi maoni yako wewe kama mwananchi? Je kitanuka au?

Nawaomba na kuwasihi watanzania tudumishe amani yetu tuliyonayo kwa muda mrefu.
 
Nec,police,jk.

Ndio wenye njiti ya kiberiti lwenye matank ya petrol.embu tuone wanawasha wavute sigara makusudi au watakuwa waelewa.
 
Ngoja Wafunge hizo Balozi zao, Ila CCM lazima Ing'oke Ili Turekebishe Hali ya Nchi. Watanzania wapo Tayari kwa Lolote, Na Mabadiriko

Hayazuiliki, CCM Wajiandae Kipsychologia Kuikabidhai Nchi Kwa Wenye Nchi Kupitia Sanduku la Kura.

Tarehe 25/10/2015, Chukua Weka Lowassa bila Papara Na Usiguse Kibosi chenye Picha ya Mgombea mwingine.

Ni Lowassa 2015, Ni Mabadiriko Kwa kwenda Mbele.
 
Amani itaendelea kuwepo ata bila ya lowasa kuwa rais,tanzania yetu sotee chagua CHAUMA tudumishe aman
 
Back
Top Bottom