Maoni ya CHADEMA juu ya katiba mpya ya Tanzania

Asante kwa kuitambua Tanganyika maana wenzetu pamoja na kuwa ktk muungano, wao wana kila kitu kinachowatambua kama nchi yaani rais, katiba,bunge,wimbo nk. Sisi Tanganyika haieleweki tulipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…