Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 2,150
- 1,415
Hili la Mtwara kunahaja ya kufukuza viongozi wa mkoa wa tanesco,sijui watu wa Mtwara mnavumilia vipi upuuzi wanaofanya Tanesco. Kama kuna mtoto anachezea switch. Hali ilivyokuwa trh 1.9.2017 kwa kweli ningekuwa na mamlaka nadhani kuna watu j3 wangeamkia mahakamani maana wikend hii wangelala kwanza sero.hakikisheni umeme mtwara hii ni aibu yaani unakatika kila wakati