Naomba uulize hii course inaitwa bachelor in ecinomics-economic policy and planning
nimekopi ka ilivyo rafiki yangu amechaguliwa hiyo na anauliza inahusu nn ,, yani inshort details in all aspects adi ajira !!! no dissing,,, kuuliza c ujinga,,, asanteni wakubwa