Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Hata kwenye 'website' haipo. Tunaburuzwa tu kama kawaida yetu.Sku zote watanzania so kwamba tuna uelewa saw a.....
Hiyo katiba ya mamilion ya watanzania igesambaa kwanza wanyamwez waisome waelewe then mpange mkakati madhubuti WA kuwafikia walengwa waone km wataipenda ama lahhhh! So mnapanga kuipigia kura wakat hajulikan......Tafakari Na hatua mbele