Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 599
- 1,765
🤣🤣🤣Poleni na majukumu wana JF!!!
Twende kwenye mada moja kwa moja…..Nimekuwa nikifuatilia historia za siasa za nchi hii kwa kipindi kirefu sana,
Mpaka nilipokuja kufanya hitimisho hivi majuzi kwa kumuona kuwa huyu jamaa (John Heche) ni mtu wa kazi sana na uwa anamaanisha anacho zungumza na anazungumsha anacho maanisha.
Watu wa kanda ya ziwa ndio watu wenye uchungu sana na taifa hili(historia inaonesha hivyo) kwa kuanza kwa Nyerere mpaka kwa Magufuli na uwa wanapenda haki sana,John Heche pia ni mmoja wao…..alipambana sana na Wazungu wa pale Nyamongo mpaka wazungu wakanyoosha mikono.
Ni mtu anayejiamini sana uwa hamung’unyi maneno.
Ni mchapakazi kweli kweli na yupo mbali na rushwa,tamaa au kutaka vyeo vikubwa kama wana siasa wengine walivyo na mwisho kabisa
Na mwisho kabisa hana ukabila,ukanda au udini kama wanaSiasa wengine wa upinzani au wa chama tawala walivyo
Maendeleo hayana chama🩴
Nani kawambia CDM haitosimamisha mgombea 2025?Poleni na majukumu wana JF!!!

Heche urais urais umekuwa mrais sana kiasi hata wabwatukaji wanapewaPoleni na majukumu wana JF!!!
Twende kwenye mada moja kwa moja…..Nimekuwa nikifuatilia historia za siasa za nchi hii kwa kipindi kirefu sana,
Mpaka nilipokuja kufanya hitimisho hivi majuzi kwa kumuona kuwa huyu jamaa (John Heche) ni mtu wa kazi sana na uwa anamaanisha anacho zungumza na anazungumsha anacho maanisha.
Watu wa kanda ya ziwa ndio watu wenye uchungu sana na taifa hili(historia inaonesha hivyo) kwa kuanza kwa Nyerere mpaka kwa Magufuli na uwa wanapenda haki sana,John Heche pia ni mmoja wao…..alipambana sana na Wazungu wa pale Nyamongo mpaka wazungu wakanyoosha mikono.
Ni mtu anayejiamini sana uwa hamung’unyi maneno.
Ni mchapakazi kweli kweli na yupo mbali na rushwa,tamaa au kutaka vyeo vikubwa kama wana siasa wengine walivyo na mwisho kabisa
Na mwisho kabisa hana ukabila,ukanda au udini kama wanaSiasa wengine wa upinzani au wa chama tawala walivyo
Maendeleo hayana chama🩴
2025 anagombea abubakar mbowe.Nani kawambia CDM haitosimamisha mgombea 2025?
Kama mgombea wa urais CDM 2025 atakuwepo, mbona hutujuzi unatuambia mgombea wa 2030?
KATIBA mpya kwanza, Wagombea urais baadae.2025 anagombea abubakar mbowe.
Ok, sawa.KATIBA mpya kwanza, Wagombea urais baadae.
Tupambanie KATIBA mpya,Akitoka Tundu Antipas Lissu mwanaharakati mwingine wa kweli ambaye hawezi kuyumbishwa ni John Heche.