Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 20,517
- 30,587
Asilimia 99 ya wanawake hawalijui hiliInategemea na mke uliyenae...ukipata mke smart aneelewa maana ya maisha basi hutojuta...by the way ikitokea Mume amefariki au ametpata kilema au amekosa kazi unategemea familia itaishije? Kwenye maisha haya yasiyo na huarantee ni vema wote mke na mume waweze kubeba majukumu ya familia ili hata mmoja wapi asipokuwepo basi watoto wasipate tabu wala familia isiyumbe
Sent using Jamii Forums mobile app
Asilimia 99 ya wanaolijua huishia kulisema tu ila uhalisia ni vinginevyo kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app