Maombi Yenu Yanahitajika! Ligi Ya Mabingwa Yakaribia Kunishinda. Nimtakae Nimemuona Ujasiri Sina Mie

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,111
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

(Hii ni Story Ya Kutunga, a.k.a Fiction but its worth your time to read. Or it might not be a story maybe some truth disguised as a story kuwapunguza povu maana ukweli unaumaaa. Anything is possible with me. Either way some ujiamulie kama kweli au story:A S 103:)

Watu humu ndani baadhi wanaona since i can write basi i am this hot shot genius, hot, over the top chick. Hahahahaaaa! Maskini ya Mungu. Wanajimimina PM si kidogo nitakupa 1m for a night, nigee namba yako nikutumie Mpesa, sijui nigee namba nikutumie bundle, twende Dubai, Nakukatia go n return uje china first class tu spend quality time, how about uje Malasia for a week all cost on me. Jamaniiii JF tamu jamaniii ioneni kwa nje tu. Jf imekuwa so kind to me. Ningeamua kukitembeza humu mbona ningekuwa mbali kimaisha! Haahahahaa! Ofcourse kuna kina Average Joe nao wanajitutumua kwenye msafara wa mamba na kenge wamo pia, and the losers ambao wantka wanichune jamani kweli umchune komandoo kipensi unajitakaa? All in all it has been quite a roller coaster for me and i love it.

I love you wadau very much, and i wish i could make each n every one happy but we both know it is bloody impossible. The reality is far stranger than your imaginations. I am just a lazy sick loser, probably ugly, bet you boring just another girl next door. Nothing spectacular, nothing out of the proportions so relaxxx you didnt miss much anyways. You can thank me later for doing you a favor. Yet still i love you all even those who despise me for no reasons,and those whom i crucified and they despise me for that too. Quit the chase it is not worth it anyway. You will certainly be disappointed.

Kabla hamja ungna na mimi katika blasphemy na kumkosea Mungu, niwaambie tu ukweli mi na God we go way back when nilipokuwa both believer and church goer. And i saw go more vividly in my life. Nilipata kila kitu nilichokitaka maishani mwangu. Kila kitu. Nikitaka shule naipata miraculously, i am not bright lakini nimepata scholarship kimzaha mzaha mwanzo mwisho, i am not beautiful lakini nikimtaka mwanaume yeyote popote nampata miraculously. Nikimfikiria tu ziatokea events mpaka tutatoka except mmoja tu ambae alikuwa teja ndo nilimuomba hadi Mungu ikawa request denied. 99% of guys i fancied i got them, without sweat. All i had to do is wish. Sema saa ingine unamtamani mtu ukishampata unaona hatokufaa wala nini. Believe me i got all the hotest dudes in class mind you i am not a looker. Just my luck i guess. Whatever i wished for i got. Hatakazi nikitamani sehemu tu enzi hizo itatokea mambo mpaka nitapata tu kazi pale kiajabu ajabu. Na nitapata idara haina kazi afu ina mshiko watu wa pale watashangaa huyu kapatajeee. Na katika sales sehemu zote i was unbeatable kimauzo. Just my luck. Bi mkubwa akawa ananitania dogo umeachiwa koba la kichawi na bibi yako mzaa baba nini, mbona sikusomi, maana mkwe wangu nilikuwa simuamini yule. That was before the accident.

Well of late i have been bored to near death experience. Nothing much was happening in my life, maisha yana boa boa, mambo yale yale, all the things i am waiting to happen were not happening. Nilikuwa nimemkasirikia Sir God, i just felt it wasnt fare i got the accident and was sick for years, i was bullied at work sababu performance ilishuka vibaya mnoo chezea ugonjwa, my world was crumbling down, bored , and tired of being me. Nikikuwaga muhuzuria kanisani aka church goer nikaacha na kugeuka believer. Naweza kuamka mda wa kanisani nikarudi kulala kusudi kabisaa. Sio niliona Mungu kanitupaaa. Na mimi nikabakia natanga tanga kama mpagani. Kila kitu naona mzigo maishani, naweza kwenda kwenye interview najibu ovyo ovyo tu. Au nikafikiria that job will be boring siendi. Na hivi naumwa hamna mtu anaesema kitu, wanasikitika tu. Dawa nikipewa sinywi wala nini, za bei ghali naflah tu chooni. In short nilikuwa nimejichokea. Wanaume naona wananiboa tu.Since i hated my life anyway wakawa wanajaribuu wanashindwa wenywe maana sioneshi ushirikiano. Kila mtu akawa kachoka sasa akaamua kumuachia Mungu tu baasi. From seeing God in everything that i did mpaka simuoni kabisaa kabisaaa ikawa imenimalizaaa. Basi tu nakaa kula na kulala,kazi nafanya nikiamka vizuri au sifanyi kabisaa. Basi tu nafanya vitu kama kuwakomoa watu au ambavyo nizingeweza kuvifanya kama kutoka na mtu mzima jamaniii! Hahahahaaa!

Then this year i thought enough is enough inabidi nirudi kwenye my game. I am not getting any younger. Isitoshe if i am going to die i should die trying. Sasa how do i get back to the old me?????? Basi nawaza tu hamna utkelezaji. Nikawa nongea na dogo akawa ananicheka tu, zikipita sumu z panya ananiuliza ndo kusema huzioni au? Hhahahaaaaa! Watu wkatili sanaa.Nikaanza kusali mdogo mdogo novena hizi, zote acess denied. Ndo nikawa ngachokaaaa ngachokaaaaaaaa. Nikaamua kuanza kuhudhuria kanisani mfululizooobila kukosa kama wiki 6 hivi roughly. Nikamuuliza tu dogo na nilimuuliza coz she aint ordinary she is 17 and heavily pregnant and happy, does she honestly really thing i might come back strong like the old me au jhave just ran out of luck and it is over for me nianze tu ku accept my fate. Akaniambia kusema kweli hapana, amekuwa na matumaini na mimi mengi lakini nimemdisapoint sanaa, so kwake yeye i am a done deal hatoshangaa nikiishi hivo hivo mpaka uzee. Tobaaaaaaaaa! Unless ofcurse some body interesting happens! Nikawa nafikiria kwa jinsi nilivobored a man is unlikely to bring me back. Maybe i am so done!

Sasa nikawa nasali, japo imani sina nasali hivo hivo, nikawaza kama majibu yatatoka kwa Mungu. Katika kusali ssali na mimi, nikaanza tu kumkumbuka mtu ambae alikuwa hottest of the hottest. Nikawaza tu that one can bring me back from the dark agaes. Mawazo tu ya mtu alie kata tamaa. I havent spoken or seen him in 5 years kasoro kwenye social media hizi. Mmmmmh! Long shot. Siku hio sitaki kabisa kwenda church kabisaa kabisaaa nikajisukumaa, ile narudi nikaipita kabisaa ATM, nikasema nirudi ATM. Sasa CRDB kuna bonge ya folleni, nikasema ngoja nitoe huku stanbic na kadi yangu ya stanbic. Roho insitaa. Nikabakia nimesimama. Kuna mkaka tu mmoja ndani hamna mtu kabisaa Stanbic zaidi ya huyo kaka ndani. Nikakomaa CRDB. Eeeeh ile anatoka si Hottest of the hottest! Tukagongana macho! Holly cow! Nikageuka pmbeni fasta akajua kabisaa namkwepaaa. Come on i ws not in shape like 5 years ago, sckiness can do things to some one. Akaondoka maskini anageuka nyuma mi namchungulia na kijicho pembe. Mmmmmh! Nikajiuliza i am getting my luck back or what? Mara najiambia coincidence tu. Yaaniii sikuamini.

He did bring me back, nikaanza kuhudhuria appointment za specialist, dawa nakunywa zotee, mtu akisema kuna dawa ya kienyeji inasaidia leta nakunywa, nimepona 90%, mazoezi nafanya, addiction zote nimeachaa, i am so sober as shit, eating healthy. Interview najiandaa kabisaa mpaka nawa surpass expectations zao, agent wangu wa kazi akaniambia welcome back, i missed you. Dili napiga mtaani, nina njaa kama zamani hadi wadau wakaniuliza umeenda maombi gani, we thought we lost you, Not to mention misala niliyojipanga kuisali ni hatariii. Exactly one week baada ya kumuona nikamuota vividly and explicitly! Damnnn! Nikasema i might be getting my luck back after all. Ila not yet. Sasa kubwa lao he called me and wants to meet up for dinner mybe! Holly cow! God can be scary. Namzungusha bado, im not in shape i wnt him to see me in. I cant https://jamii.app/JFUserGuide this up. It took me time to get old me back and i am not messing that up at any costs. It really feels good to be back! Huuuh!

Sasa nyie wana jf ndo mnaingia hapa sasa GUYS YOU NEED TO PRAY FOR ME SERIOUSLY! Kiukweli kabisaa ikibidi mnitolee sadaka kabisaaa. Maombi ya wengi hayakataliwi mjue. Embu oneni just watu 1000 tu mkiniombea japo visala vifupi fupi si mtakuwa mmeiokoanafsi yangu. Hata maadui zangu vitabu vinasema adui yako niombee nione mafanikio yako, niombeee eeeh. Kweli kabisaa fanyeni kuniombea i just got my old self back and i wanna keep it. Sala hizo jamani muanze leo leo. I can not lose this guy. It took me 2 fu.cking years of trying to put my shit together and come back without success, but my determination to be with this dude i have raised the bar so high i surpassed my imigination, i never knew i had it in me anymore, i can not afford to fail. PRAY FOR ME SO THAT I DONT FAIL! Mbinu za kidunia sizitaki ninazo kibaooo, lakini vita hii sio mahali pake.

THE END (REMEMBER THIS IS JUST A STORY:rain: DONT GET EMOTIONAL)
 
ama kweli every one you meet is fighting a battle you know nothing about...

You seems to be strong..., down to earth.. More than okay....

I will put you in my prayers so that you wont FAIL.
 
Nimejitahidi kusoma kwa makini na kwa utulivu lkn nimejikuta naanza kusinzia! Nimeweka alama nilipoishia ntarudi niendelee then ndo ntachangia.
 
Fumba macho nikuombee,God bless Lara1 amen.
 

Attachments

  • 1427104269870.jpg
    1427104269870.jpg
    42.1 KB · Views: 232
am praying for you though unaezw badilisha mbinu ukaanza kutumia za kidunia dont do that komando kipensi
 
Some exaggerations here and there, but a lotta truth to your story. Take a heart my Sister, and keep believing. God sees through one, going to church or not, if you got a pure heart or desire one, He blesses you no doubt.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom