Maombi yenu Wana JF, interview hii asikose tena

chazachaza

JF-Expert Member
Feb 21, 2018
2,829
3,824
Habari za wasaa,Wana jf.

Poleni na changamoto za maisha, hasa hili la ajira.

Leo asubuh nimepigiwa simi na mtu wangu wa karibu sana na rafiki yangu kipenzi.kiukweli amenipa taarifa kuwa majuzi alipigiwa simi kuwa anatakiwa kwenda kupiga interview ya kusaka ajira.

Kiukweli nimeipokea taarifa kwa furaha, nikamtia moyo, awe na ujasiri Mungu atamsaidia katika interview yake anayoenda kufanya.
Anaonekana anawasiwasi na Hana Imani Kama atafanikiwa ,kwani anadai nafasi nichache Kama 50 hivi,Ila ma interviewee ni wengi Kama 1000 plus.

Binafsi namtakia kila la kheri Mungu amfanikishe katika interview hii ngumu na yenye competition kubwa sana.

Hii interview inafanywa na taasisi moja ya fedha hapa nchini.(bank).
 
Kama ni wewe sema tukupe tips. Kama ni rafiki yako sema tumuombee.
 
Kama ni wewe sema tukupe tips. Kama ni rafiki yako sema tumuombee.
rafiki yangu mkuu.ameaply mara nyingi ,lakn kwa hii inaonekana anakosa Imani kulingana na competition ilivyo, 50/1000 nafasi#idadi wa watu.
 
Asikate tamaa ndugu yetu. Ajiamini, asiangalie wingi wa watu na Mungu atakuwa upande wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom