Maombi ya vyuo vikuu Tanzania

Maombi ya vyuo vikuu Tanzania

soda king

Member
Joined
Aug 17, 2014
Posts
8
Reaction score
1
Wana jf habari zenu wote samahani naomba kuuliza maombi ya vyuo vikuu nchini yanaanza lini?
 
Wana jf habari zenu wote samahani naomba kuuliza maombi ya vyuo vikuu nchini yanaanza lini?

Unataka kusoma kozi za level gani?, certificate,diploma, degree au masters???
Jibu kwanza hapo then nikupe maelekezo
 
Je, unataka kuingia kwa sifa za moja kwa moja( direct entry) kwa kutumia matokeo ya form six au unataka kuingia kwa kutumia sifa za equivalents kama diploma na nyinginezo??

Hv hii direct inakuaje
 
Back
Top Bottom