Kwanza jiulize wewe una kipaji kipi kati hivyo, yaani hobby yako ni ipi. Kwasababu kama utasomea kozi isiyo ya hobby yako utateseka sana kutoboa na hautaweza kuwa Nondo.
Kumbuka ukisomea kitu unapaswa kuwa mtekelezaji wa kazi zake kwa vitendo, kwa hiyo kama ulisomea kwa kulazimisha basi maisha yako yatakuja kuwa magumu kwenye hiyo fani.