Maombi ya ufadhili wa masomo

Maombi ya ufadhili wa masomo

Joined
Sep 12, 2018
Posts
11
Reaction score
0
habari zenu, nimemaliza form6 nahitaji kusoma diploma ya kilimo je naweza kupata ufadhili wa masomo yangu ya kilimo na chuo.marks zangu ni
GEOGRAPHY-D
CHEMISTRY-D
BIOLOGY-E
BAM-S
GENERAL STUDY-S
 
Wasiliana na Ndugu Polepole CCM Lumumba. Shida yako itatuliwa.
 
habari zenu, nimemaliza form6 nahitaji kusoma diploma ya kilimo je naweza kupata ufadhili wa masomo yangu ya kilimo na chuo.marks zangu ni
GEOGRAPHY-D
CHEMISTRY-D
BIOLOGY-E
BAM-S
GENERAL STUDY-S

Kwanini usome diploma wakati vigezo vya bachelor degree unavyo
 
habari zenu, nimemaliza form6 nahitaji kusoma diploma ya kilimo je naweza kupata ufadhili wa masomo yangu ya kilimo na chuo.marks zangu ni
GEOGRAPHY-D
CHEMISTRY-D
BIOLOGY-E
BAM-S
GENERAL STUDY-S
2016,matokeo mepesi umeshindwa kufaulu unajaza 'vi d'tupu.shule ulienda kucheza kusoma?
 
habari zenu, nimemaliza form6 nahitaji kusoma diploma ya kilimo je naweza kupata ufadhili wa masomo yangu ya kilimo na chuo.marks zangu ni
GEOGRAPHY-D
CHEMISTRY-D
BIOLOGY-E
BAM-S
GENERAL STUDY-S
Nenda kwenye ofisi za wilaya za ccm tatizo lako litapatiwa ufumbuzi
 
Back
Top Bottom