Maombi ya nafasi za kazi

Maombi ya nafasi za kazi

Joined
Apr 17, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu.mie naish tabora ninaitaji kazi yeyote yenye maslihi namimi so naomba mnsadie
 
Pia kazi hiyo isiwe ngumu kwangu kwa ni na elimu ya digree tatu xo ni officen ndipo na hita.pia nina vyeti vyote
 
Pia kazi hiyo isiwe ngumu kwangu kwa ni na elimu ya digree tatu xo ni officen ndipo na hita.pia nina vyeti vyote

Seeming you are not serious...if you think it is that easy,okay keep on waiting and spurning jobs!
By the way,if you are a PHD holder you may try to consult universities and colleges...
Maisha ni kupigana....huhitaji kulala na kutaka raha kwenye sehemu ya mapigano...
 
sitaki kuamini mtu mwenye mwenye masters kaandika huu ujinga hata barua ya kazi hajui kuandika
 
Pia kazi hiyo isiwe ngumu kwangu kwa ni na elimu ya digree tatu xo ni officen ndipo na hita.pia nina vyeti vyote

hapo sasa kwenye wino mwekundu ndugu zangu...angekua amemaliza form 4 ningesema ni waleee wa kuuchemsha mdahalo..but degree tatu?hatari
 
Daaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!, msomi huyu!!!!!!!!!!!! haujajifunza kuandika maombi hata ya urafiki!!!!!
 
Iv tra wanataka tu apply online au tutumie njia ya posta nsaidien jmn
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom