Maombi ya Mara ya pili nacte

Maombi ya Mara ya pili nacte

ndolochi

Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
8
Reaction score
2
Selection za awamu ya pili nacte vyuo vya afya zitatoka Lin?
 
zmeshafungwa mwisho ilikuwa tare 5/8/2016 kwa taarifa zaid ingia kweny page ya nacte
 
Waungwana na sisi tunaotaka kwenda diploma ni kweli leo tarehe 8/8 watafungua tuaze ku apply au ni maneno ya watu tu.?
 
Back
Top Bottom