Maombi ya kuhama chuo

emo maw

New Member
Oct 29, 2016
2
2
Wakuu vipi kuhusu wanaotaka kufanya transfer wameshafungua hao TCU?

Na wanaposema feedback ni December huko mtu si utakuwa umemiss vipindi kadhaa utaweza kuendelea na chuo kweli?
 
Na december ishafika tarehe yao ishapita na hakuna walichotoa chochote... Hizi ndizo idara zetu...

Hawajui km watu hawasomi, hawajui km watu wanaenda kusomea internet toka bus huko... Wameharibu pesa nauli. N.k
 
Tuvumilie Tu hadi watapojiskia
 
Back
Top Bottom