DEMOCRASIA KWA MWANADAMUMU IMELETWA NA MUNGU MWENYEWE
KAMUUMBA SHETANI KWA AJILI AWE KIONGOZI WA WATU WAOVU.
WAUMINI ,KIONGOZI WAO NI MUNGU.
Binadamu kawekwa kati akiongozwa na akili na matamanio
Akili humjua Mungu
Matamanio Humjuwa shetani
Anasa za dunia zinaanbatana na Shetani
Kukinai na kujitenga na anasa na starehe zake Kushikana na Mungu.
Jahannam imezungukwa na vitu vya mapambo na anasa
Peponi (paradise) imezingirwa na shida ,kujinyima,na machungu kadhaa ikiwemo Subira.