Maombi ya kazi

Maombi ya kazi

safines

Member
Joined
Apr 20, 2014
Posts
5
Reaction score
0
Rafiki wana JF, hivi inakuaje mtu unatuma applications ila hujawai kuitwa, nikwamba hazivutii, not qualified, au hatujui kuandaa barua na CV, au hatuna refa or what?

Help me please.
 
rafiki @ JM, ivi inakuaje mtu unatuma applications ila hujawai kuitwa,nikwamba hazivutii, not qualified, au hatujui kuandaa barua na cv, au hatuna refa or wat? help me please.
Umetuma applications ngapi hadi sasa? na je,unasoma vizuri vigezo vya kazi unazoapply? je,unatuma CV na Cover letter kutokana na nafasi ya kazi unayoapply au huwa unafoward to hiyo moja sehemu zote?
Tafakari maswali hayo kisha yajibu kwa vitendo,kuhusu kuandika CV ni sawa kabisa inawezekana CV yako haina mvuto kutokana na mpangilio mbovu hivyo ni vyema ukapitia CV za wengine wachache au google "Sample CVs" ili uone nzuri ni zipi na mbaya ni zipi,na kabla hujaaplly kazi yoyote istudy kwanza ile kazi kwa makini uone barua na CV vinatakiwa viweje.
Weka anwani unayotumia hivi sasa sanasana namba za simu(iwe active luda wote) na email,na referee wanaokujua sio unaowajua wewe(waalimu wako wa nyuma,waajiri wako wa nyuma, etc usiweke watu wakubwa ukidhani ndio utapata kazi).
 
Kandili hili ni jukwaa la wasomi jaribu kuchangia hoja kisomi au kutoa ushauri kisomi.
 
Back
Top Bottom