Maombi ya kazi

Maombi ya kazi

PANDIT92

Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
29
Reaction score
7
Habarini za asubuhi. Nina ndugu yangu amesomea masuala ya uhasibu na ana Diploma ya Accountancy anaomba kazi ya Cashier au uhasibu.

Please tumsaidie
 
Amefanya juhudi gan binafsi kabla ya kuja kuomba msaada huku?

Me nashauri atoe copy za kutosha CV na certificates zake then asambaze kwenye ofisi mbalimbali aombe hata intern/kujitolea ajira ngumu sana hasa kama huna connection
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom