AGAPE BOY
Senior Member
- May 24, 2015
- 194
- 160
Hello wadau na wakuu, waajiri na waajiriwa, nimefungua uzi huu maalum kabisa kwa ajili ya kupata mwongozo mzuri na namna nzuri ya kuomba kazi kwa njia ya kutuma emails (sending cover letters, CV, and certificates documents).
Swali langu la kwanza ni kwenye uambatanishaji wa documents, binafsi sifahamu ni njia ipi nzuri either kuattach docoment moja moja kwenye emails moja (yaani, cover letter, CV, certificates separately in one email) au una ziunganisha pdf zote (Cover letter, CV, Certificates) na kuwa one pdf file then ndo utume kwenye email?
Mwenye kujua hili tusaidiane kidogo.
Nawakilisha.