S shedy7 New Member Joined Jun 2, 2023 Posts 3 Reaction score 1 Jul 2, 2023 #1 Wakuu naomba kuuliza ukipata chuo alfu Kama hukuenda kabisa then mwaka ujao unaweza kuaply upya ?Na je, hamna effect yoyote kwenye mkopo?
Wakuu naomba kuuliza ukipata chuo alfu Kama hukuenda kabisa then mwaka ujao unaweza kuaply upya ?Na je, hamna effect yoyote kwenye mkopo?
itoko jr JF-Expert Member Joined Feb 26, 2023 Posts 1,126 Reaction score 2,540 Jul 3, 2023 #2 Tuanzie apo kwanini hukwenda??
Dam Boe Senior Member Joined Jul 29, 2022 Posts 133 Reaction score 104 Jul 3, 2023 #3 shedy7 said: Wakuu naomba kuuliza ukipata chuo alfu Kama hukuenda kabisa then mwaka ujao unaweza kuaply upya ?Na je, hamna effect yoyote kwenye mkopo? Click to expand... Hakuna tatizo lolote
shedy7 said: Wakuu naomba kuuliza ukipata chuo alfu Kama hukuenda kabisa then mwaka ujao unaweza kuaply upya ?Na je, hamna effect yoyote kwenye mkopo? Click to expand... Hakuna tatizo lolote
AnyWayZ JF-Expert Member Joined May 30, 2022 Posts 4,885 Reaction score 8,478 Jul 4, 2023 #4 shedy7 said: Wakuu naomba kuuliza ukipata chuo alfu Kama hukuenda kabisa then mwaka ujao unaweza kuaply upya ?Na je, hamna effect yoyote kwenye mkopo? Click to expand... Kote ina shida hasa kama hukutoa taarifa, Utapuuzwa kwa maana kwamba hutopewa kipaumbele kama Mwanzo sababu uliwapuuza basi wanakuassume kama mpuuzi tu. Kama Competition haijakaza haina shida lakini.
shedy7 said: Wakuu naomba kuuliza ukipata chuo alfu Kama hukuenda kabisa then mwaka ujao unaweza kuaply upya ?Na je, hamna effect yoyote kwenye mkopo? Click to expand... Kote ina shida hasa kama hukutoa taarifa, Utapuuzwa kwa maana kwamba hutopewa kipaumbele kama Mwanzo sababu uliwapuuza basi wanakuassume kama mpuuzi tu. Kama Competition haijakaza haina shida lakini.