Fenuchi
Senior Member
- May 5, 2019
- 116
- 38
Waliopata hongereniWakuu nimekwama nahitaji mwongozo kwa anayefahamu. Kwenye hizi ajira za TAMISEMI kuapply online hivi ukimaliza ku-upload taarifa zako na vyeti ndio ume-apply tayari? Mbona hakuna link ya kuapply?