Maombi ya ajira za Afya za TAMISEMI

Maombi ya ajira za Afya za TAMISEMI

s8plus

Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
74
Reaction score
25
Wakuu nimekwama nahitaji mwongozo kwa anayefahamu. Kwenye hizi ajira za TAMISEMI kuapply online hivi ukimaliza ku-upload taarifa zako na vyeti ndio ume-apply tayari? Mbona hakuna link ya kuapply?
 
Yeah , unakuwa umemaliza ila hakikisha hzo attachment zinaonesha icon kuwa already attached. Ukiona icon za attachment hazionekani ujue bado hauja apply majob,
 
Wakuu nimekwama nahitaji mwongozo kwa anayefahamu. Kwenye hizi ajira za TAMISEMI kuapply online hivi ukimaliza ku-upload taarifa zako na vyeti ndio ume-apply tayari? Mbona hakuna link ya kuapply?
Ukimaliza kujaza sehemu zote kul čhini kipengele cha mwisho kuna region of choice ukijaza hapo hiyo mikoa 3 itatokea neno SÀVE na ukibonyeza tu hapo utapewa hongera ya kumaliza ombì la kuapply
 
Mimi sijatumiwa kabisa username na password after registration... Na mbaya zaidi ile namba yao ya msaada iliyopo pale kama ikiita, haipokelewi ila muda mwingi haipatikani.

Namba yenyewe hii hapa... +255672746256
 
Ukiona hivyo jisajiri upya, Mtandao unakuwa powa mida ya SAA nane usiku na SAA nne asubuhi, hakikisha Email unayo sajilia inafanya Kazi ( ipo active)
 
Shida ni kwamba ukisajili upya unaambiwa ushajisajii.

Hapo ndo shida zinapoanza
 
Ingia halafu jaza hiyo username halafu kwenye password click forget password watakupa nyingine mpya. Ila username itabaki ileile
 
Okay, shukrani nitajaribu tena saa nane usiku kama mdau hapo juu alivyoshauri.
 
Shida ni kwamba ukisajili upya unaambiwa ushajisajii.

Hapo ndo shida zinapoanza
Nakumbuka nilijisajiri Mara ya kwanza, nikafanikiwa vizuri, sasa ikawa shida kujaza information maana ilikuwa inaonesha blank page, nilikaa kama siku tatu hivi, nika log in, shida ikawa hapo kwenye Ku log in ikawa ina onesha kale kamstari kendundu pale kaenda kulia tena kana ludi kushoto kwa mda kama wa dakika tano hivi,
Nikaona upuuzi, nika close all tabs, nikaingia tena kupitia Mozilla ferox , nikaamua kuregister upya ndo ikakubali,

Kama inakuambia tayari usha jiunga jaribu kubonyenza Forgot password uone itakuwaje?
 
Okay, nashukuru mdau... Nitafanyia kazi usiku huu.
 
Hivi ikifanikiwa inakuja message gani mkuu?

Maana nimeattach vinavyotakiwa mpaka pale chini kabisa kwenye kuchagua mikoa then nikakuta save tu... Hakuna option kama "Send" hivi?

Au mimi nitajihidhirisha vipi kama nishasend?
 
Okeay Mkuu, Angalia quote ya Prince Kunta hapo juu #3
 
Wakuu Mimi hapa nimemaliza kujaza zile preliminary informations zote,changamoto niliyonayo ni kwenye kulog in,kila nikijaribu kulog in inaload tu haifungui,kwa aliyekutana na changamoto ka hii naomba anishirikishe mbinu alizotumia hapa,natanguliza shukran
 
Wakuu nimekwama nahitaji mwongozo kwa anayefahamu. Kwenye hizi ajira za TAMISEMI kuapply online hivi ukimaliza ku-upload taarifa zako na vyeti ndio ume-apply tayari? Mbona hakuna link ya kuapply?
Majibu yawaliofanikiwa kupata yanatoka lini!?
 
Back
Top Bottom