GE2025 Maombi na dua maalum yafanyika kuliombea taifa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
354
Reaction score
395
Maombi na dua maalum imefanyika ili kuliombea Taifa katik kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025

Mgombea Udiwani wa kata ya Segerea Robert Manangwa ameongoza Dua/Maombi ya kuliombea Taifa amani

Dua hiyo imefanyika kwa kushirikiana na kamati ya Maridhiano na Amani (JAY MAT) hapa nchini kwenye viwanja vya Toto Tundu uliopo Tabata

Kwa nyakati tofauti viongozi hao wa dini pamoja na mgombea udiwani wa kata hiyo wamehimiza amani kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29,2025.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…